Katika maisha ya kila siku,watu huwa tunajifunza mambo mbalimbali,tulipokosea jana,leo tunajirekebisha.
Maisha ni safari,na katika safari hio kuna mambo mengi mapya tunakutana nayo,pia zipo changamoto mbalimbali tunakutana nazo,.....usikate tamaa,changamoto ziwe chachu ya kusonga mbele.
Tupambane,kijana unapo tafuta maisha jaribu kuishi maisha yako,tamani mafanikio ya fulani,lakini usiishi kama fulani.
Habari,mwanangu aisha ni blog ya kijamii inayokupatia habari mbalimbali zinazo husu mazingira yetu,ie mazingira ni kila kinachomzunguuka mwanadamu Lengo kuu la blog hii ni kupashana habari juu ya mambo yanayotuzunguka,maoni yako yanamchango mkubwa sana,ila tafadhari,tumia lugha nzuri kwani blog hii ni ya watu wo te
Don't fake, be real
ReplyDelete